-->

HII NDIO ZAWADI TFF KWA WADAU WA SOKA WA NCHI YA TANZANIA

Baada ya timu ya taifa ya wanawake nchini Tanzania Twiga Stars kupoteza mchezo wake februari 14 mwaka huu dhidi ya wapinzania wao Shepolopolo ya nchini Zambia kwa kupokea kipigo cha mabao 2-1, hatimaye sasa shirikisho la soka nchini hapa TFF imetangaza rasmi yakuwa katika mchezo ujao wa
marudiano kati ya timu hizo mbili yaani Twiga stars vs Shepolopolo unaotaraji kuchezwa ijumaa ya februari 28 mwaka huu katika viwanja vya chamanzi jijini Dar es salaam kuwa kiingilio kwa mashabiki wote itakuwa ni miguu yako (Bureeeee!!)
Hii ni kutaka kuhakikisha timu hii ya wanawake nchini inaungwa mkono kwa juhudi zote ilikufanikisha ushindi wa hari ya juu.
Ikipiga stori kwa njia ya simu msombe blog na kocha mkuu wa timu hiyo ya Twiga stars Bw. Rogasian Kaijage amesema kuwa timu yake imejipanga na inaendelea kujipanga zaidi katika kuhakikisha wanakosha nyoyo za Watanzania. 
CHANZO:MSOMBE

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment