Sheikh Ponda Issa Ponda akitolewa mahakamani kuelekea kwenye gari.
Wafuasi wa Sheikh Ponda wakiwa nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar kufuatilia kesi ya kiongozi wao.…
Sheikh Ponda Issa Ponda akitolewa mahakamani kuelekea kwenye gari.
Wafuasi wa Sheikh Ponda wakiwa nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar kufuatilia kesi ya kiongozi wao.
Ulinzi ukiwa umeimarishwa wakati Sheikh Ponda akipandishwa kwenye gari.
Ulinzi mkali eneo la mahakama.
Sheikh Ponda akitolewa eneo la mahakama.
(PICHA: DENIS MTIMA NA HARUNI SANCHAWA / GPL)
0 comments :
Post a Comment