Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP
Ernest Jumbe Mangu akisisitiza jambo kwenye mkutano Mkuu wa Maofisa
Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika Chuo cha Taluma
ya Polisi Moshi, mkoani Kilimanjaro. Mkutano huo umebebwa na kauli mbiu
isemayo “Zingatia Weledi katika Kutoa Huduma Bora Kwa Jamii”.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa
Jeshi la Polisi (CP) Paul Chagonja akisisitiza kwa Makamanda wa mikoa
na Vikosi wa Jeshi la Polisi kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni
na taratibu hususani katika kushughulikia migogoro, kwenye mkutano Mkuu
wa Maofisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika Chuo
cha Taaluma ya Polisi Moshi mkoani Kilimanjaro. Picha Na Hassan
Mndeme-Jeshi la Polisi.
CHANZO:MTAA KWA MTAA
0 comments :
Post a Comment