Wachezaji
wa Manchester City wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Etihad leo
kujiweka sawa kwa mchezo wao na Barcelona jumanne kwenye Uefa Champions
League.Wachezaji wa City wakiendelea na zoezi..Naomuona Garcia, Negredo, Demichelis na KolarovKocha Manuel Pellegrini akiwapa mbinu za kuibana Barca
Baadae Pellegrini na Toure walikutana na waandishi wa habari kuzungumzia swala zima la mtanange wa kesho jumanne usiku.
VIKOSI VINATARAJIWA KUWA HIVI:
Manchester City: Hart,
Pantilimon, Zabaleta, Richards, Kompany, Demichelis, Lescott, Boyata,
Kolarov, Clichy, Nasri, Navas, Silva, Garcia, Toure, Fernandinho,
Rodwell, Negredo, Dzeko, Jovetic.
FC Barcelona: Valdés, Pinto,
Olazábal, Montoya, Piqué, Fà bregas, Puyol, Xavi, Pedro, Iniesta, Alexis,
Messi, Neymar, Mascherano, Bartra, Sergio, Song, Jordi Alba, Tello,
Afellay, Adriano, Dani Alves, Sergi Roberto.
Uwanjani leo hii, kufanya mazoezi
0 comments :
Post a Comment