Kupitia kwenye ukurasa wa faceboo mmoja wa wanachama wa chama kipya cha ACT-TANZANIA ameweka post inayoashiria kufa kwa CHADEMA kupata nguvu kwa chama kipya cha ACT-TANZANIA.
Itazame post yenyewe hii hapa chini
Jashia Hamisi
"Tawi mama la Chadema makao makuu ya Jimbo la Kigoma kaskazini labadilishwa, sasa lina Nembo ya ACT. huku ile ya chadema ikiondoshwa,Bendera inayopepea ni ACT. TANZANIA,.Pia wanachama karibu wooote wamehamia ACT,nakiona chama cha ACT kikiwa chama kikuu cha upinzani mwaka 2015."JE NI KWELI CHADEMA YAWEZA KUFA KIGOMA???MDAU UNASEMAJE KUHUSU HILI

0 comments :
Post a Comment