Kaimu
Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. John
Mngodo akiogea na wadau wa Tehama wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau
hao jana jijini Dar es salaam.Mtendaji
Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao (eGA) Dkt. Jabir Bakari akitoa mada
kuhusu matumizi ya “Broadband” katika shughuli za Serikali wakati wa
mkutanao wa wadau wa Tehama nchini katika ukumbi wa NSSF Waterfront jana
jijini Dar es salaam.
Kaimu
Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. John
Mngodo akiongea na waandishi wa habari mara baada ya ufunguzi wa mkutano
na wadau wa Tehama nchini jana jijini Da es salaam.Kaimu
Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. John
Mngodo akiongea na waandishi wa habari mara baada ya ufunguzi wa mkutano
na wadau wa Tehama nchini jana jijini Da es salaam.Kaimu
Mkurugenzi wa ICT Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Dkt.
Ally Simba (kulia) akifafanua jambo kwa washiriki wa mkutanao wa wadau
wa Tehama nchini katika ukumbi wa NSSF Waterfront jana jijini Dar es
salaam. Katikati ni Mkurugenzi wa Smile Communication Tanzania Ltd Mark
Redman, na wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Operesheni Mfuko wa Huduma za
Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Albert Richard.Mkuu
wa kitengo cha cha ICT Broadband cha Taifa-TTCL Adin Mgendi akitoa
mada juu ya Wakati ujao tunaotaka kuuona wakati wa mkutanao wa wadau wa
Tehama nchini leo katika ukumbi wa NSSF Waterfront jijini Dar es salaam
na kubainisha kuwa TTCL imepanua wigo wa kutoa huduma ya mtandao wa
mawsiliano(internet) ndani na nje ya nchi, katika nchi jirani
zinazonufaika na huduma hiyo ni Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda, Malawi
na Zambia.Baadhi
ya wadau wa Tehama nchini wakifuatilia na kumsikiliza Mgeni rasmi
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. John
Mngodo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau hao jana jijini Dar es
salaam.
(Picha zote na Eleuteri Mangi – MAELEZO)
0 comments :
Post a Comment