-->

AJICHOMA KISU BAADA YA KUPATA ZIRO KWENYE MATOKEO YA FORM FOUR


Kijana ambae jina lake halijaweza  kufamika mara moja,aneishi mwananyamala jijini Dar es salaam amenusurika kifo baada ya kujidhuru kwa kujichoma kisu.
 
kijana huyo ambaye ni mwanafunzi  aliyemaliza kidato cha nne mwaka jana 2013 alikutwa amejichoma kisu shingoni na kuwahishwa hospital ,huku chanzo kikisemekana kuwa ni matokeo yako ya kidato cha nne,matokeo yake hayakuwa mazuri kwa upande wake  amefeli kwa kupata ziro...
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment