Uwekaji wa alama mbali mbali katika mwili kuichuna ngozi na kubakisha makovu yenye tafsiri ya uzuri,utambulisho au ishara ya kutoka stage moja ya ukuaji kwenda nyoingine imekuwa ni kitu cha kawaida kwa nchi za Afrika kama vile Uganga kuna karamajonga,Tanzania kuna wakamakonde wa kuchanja,hivyo katika mipaka ya Ethiopia na Sudan(Nuer men) kunajami ambazo zinafanya na kudumisha mila ya hiyo ya kujitia alama katika sehemu mbali mbali za mwili.
Makabila kama Bodi,Mursi na Surma ni makabila ya Ethiopia yaliyo karibu na mpkani mwa Sudan na Ethiopia ambayo yanafanya mira hiyo ya kujichanja mwilinili ikiwa kama ishara ya kuongeza uzuri kwa mwanaume au mwanamke.Pia huwa ni kama ishara ya ukubwa ya kuvunja ungo kwa mabinti na kwa wanaume pia huwa kama ishara ya kuuacha uuvula na kuingia kwenye uanaume.Mtu mwenye alama hizo ambazo huwa ni makovu ya vidonda vilivyopatikana baada ya kuchanjwa huonekana mrembo zaidi au mtanashati.
Kwa hakika ni maumivu makali hupatikana wakati wa zoezi hilo lakini vijana huwa hawalii kabisa kwani kulia ni ishara ya kuwadhalilisha familia yako na kukaa kimya ni ishara ya ukomavu na ushujaa.Katika kukamilisha zoezi hili hutumia miba pamoja na kiwembeHizi ambazo zimevimba vimba mithili ya vijipu vidogo dogo ni makovu ya vidonda ambavyo hutengenezwa kwa makusudi(yaani kuwa alama yenye kubeba maana fulani)Hivi ndivyo makovu(alama) hayo yanavyotengenezwa,mwiba huchoma ngozi ili inyanyuke kisha wembe hukataHapa ni kijana ambaye amekatwa na kiwembe ili kutengeneza alama hizo zinazohitajika katika jamii hizi.Baada ya kukata hutumia majivu maalumu au dawa mithiri ya usira ambayo hutibu makovu na pia kuweza kunyanyua ngozi ili iwe muonekano ambao wao wanaukusudia(kuwe na viinuko kama vijipu)
CREDITS TO DAILYMAIL

0 comments :
Post a Comment