-->

BERNAD MEMBE ASEMA HATOCHUKUA POSHO YA BUNGE LA KATIBA

membebungeni 
Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Bernad Membe(Mb), amesema hatochukua posho na hachukui posho katika bunge maalum la katiba.


akimjibu mmoja wa chanzo chetu cha habari kwa njia ya ujumbe mfupi aliandika, “posho zipo kwa mujibu wa sheria na kanuni ila sichukui”
swala la posho limeibua mjadala mzito miongoni mwa wananchi wa Tanzania, swali ni je kuna mawaziri au wabunge wangapi watakao kubali kutokuchukua posho.
CHANZO:MTIZAMOHURU
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment