-->

SOMA SAKATA LA PENATI YA MESSI NA DEMICHEISL KATIKA MECHI YA MAN CITY NA BARCELONA

TUKIO LA Messi NA Demichelis

Pellegrin amedai kwamba si jambo zuri kucheza na Barca huku waamuzi wakitokea Sweden (Wameshawaua Cheslea waziwazi na Arsenal - RVP kupewa kadi nyekundu).
Jana watu vyombo vingi vya habari vimedai haikupaswa kua penalti kwani Messi hakua ndani ya boski ikimaanisha madhambi yamefanyika nje.
Ukiangalia mstari ni dhahiri kumeuchora tena kwa nyuma ili kumuingiza Messi kwenye boksi lakini ukiuchora kama inavyopaswa basi atakua nje ya boksi.
Inawezekana ilipaswa kua penalti ama haukupaswa..........hebu tusikie kutoka kwako kwa wale walioangalia mpira.
Kabla ya adhab hiyo ya penalti na kadi nyekundu kwa mchezaji wa City mambo hayakua rahisi kwa Barca

CHANZO:FULLSOKA
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment