Ripoti
mpya iliyotolewa hivi karibuni kuhusu huduma kwa watu walio taabani
kutokana na maradhi imeonyesha kuwa hali ya huduma hiyo ni mbaya zaidi
kwenye nchi zinazoendelea. Mathalani inasema kuwa wagonjwa walio taabani
kutokana na magonjwa kama vile saratani, moyo, kisukari na hata
kiharusi hupata machungu ya maumivu bila tiba huku uangalizi ukiwa wa
taabu. Takwimu
zinasema ni mtu mmoja kati ya 10 ndiye anayepata huduma ya tiba ya
kupunguza maumivu ya magonjwa anapokuwa taabani na kukaribia kupoteza
maisha.
Waandaaji wa ripoti hiyo ni shirika la afya duniani, WHO kwa kushirikiana na kikundi cha ushirikiano wa huduma za kupunguza machungu ya magonjwa mtu awapo taabani, WPCA.
Waandaaji wa ripoti hiyo ni shirika la afya duniani, WHO kwa kushirikiana na kikundi cha ushirikiano wa huduma za kupunguza machungu ya magonjwa mtu awapo taabani, WPCA.
0 comments :
Post a Comment