-->

MWANAFUNZI WA CHUO MWAKA WA KWANZA AJINYONGA KISA KAFELI MASOMO MATATU

University Student Commits Suicide After Failing 3 Papers (Warning – Graphic Image)Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo kikuu cha Winneba kilichopo Ghana amejinyonga mpaka kufa baada ya jina lake kuwa limebandikwa katika ubao wa matangazo wa chuo kwamba amefeli amsomo matatu.Hivyo kuepuka aibu hiyo Mwanafunzi huyo ambaye jina lake linashikiliwa kwa sasa aliamua kuchukua uamuzi huo wa kujinyonga baada ya kuona uamuzi wa yeye kuendelea na chuo ni mdogo kwani kutokana na sheria ya chuo hicho mtu anapofeli masomo matatu anatakiwa kurudishwa nyumbani na kama amefeli masomo mawili basi chuo kitampa nafasi ya kurudia mtihanai yaani probabatio kama ilivyothibishwa na Raisi wa chuo hicho bwana Wilson Dabuo aliponukuliwa.


 “If you trail in three subjects you would be advised to go home; two subjects you would be put on probation.”
Sababu rasmi dhidi ya kifo chake bali hakijajulikana bali inahisiwa kuwa hiyo ya kufeli masomo matatu huenda ikawa ndio sababu ingawaje maaskari bado wanaendelea na uchunguzi wa sababu ya kifo cha kijana huyo wa mwaka wa kwanza wa chuo cha Winneba kama alivyonukuliwa hapo chini
The Winneba District Crime Officer, ASP Kofi Sarkodie has confirmed the incident to Joy FM but says investigation is ongoing to get the full details.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment