-->

MCHUNGAJI MTIKILA ASEMA BUNGE LA KATIBA NI BUNGE LA KIHUNI

Mchungaji Mtikila leo amekandia bunge lote la katiba na kusema anasikitka soon atalicha bunge hilo mana limechaguliwa kihuni.
Nasema hivi wambieni kabisa nimesema hili ni bunge la kihuni limechaguliwa kihuni ndio maana unakutana na mambo ya kishenzi mnayoendelea kuyaona.
Nasema tangia uhuru sijapata kuona bunge la kihuni kama hili.
Sitoshangaa maamuzi ya kihuni na kishenzi kutokea siku tunaagana pale nje.
Huyo ni rev. Christopher Mtikila
CHANZO:DJ SEK
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment