Basi la Bunda Express lililokuwa likitokea Dodoma kwenda Mwanza asubuhi limegongana na Treni Eneo la Manyoni mkoani Singida.

Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka eneo la tukio kinasema kuwa watu wanne wamefariki dunia na kadhaa kujeruhiwa.
Majeruhi Tayari wamepelekwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Manyoni.

0 comments :
Post a Comment