-->

HAYA NDIO MAMBO 10 UNAYAOYAFANYA AMBAYO YANACHANGIA KUHARIBU FIGO YAKO

1.Hukojowi mapema mkojo ukikushika


2.Hunywi maji ya kutosha


3.unakula chumvi sana kwenye chakula.


4.Hujitibu magonjwa ya kawaida kwa haraka na vizuri


5.Unakula nyama sana


6.Huli chakula cha kutosha


7.Unatumia Vidonge vya kukata maumivu kwa wingi


8.Huli kwa wingi vayakula vya virutubisho


9.Unakunywa pombe kupita kiasi


10.Hupumziki vya kutosha.



Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment