-->

ZITTO KABWE AGOMA KUPOKEA POSHO YA SHILINGI LAKI TATU(300,000) YA BUNGE LA KATIBA

ZITTO ZUBERI KABWE akilejea barua yake ya 2011 akiwa anaongea na mwandishi wa gazeti la majira amesema hatapokea posho yoyote kwenye hili bunge la katiba. Zitto amesema ametumwa na wanakigoma kuja kuandika katiba wala sio kipokea posho.

Zitto ameongezea kuwa huu ni wizi kwa wananchi yaani mwalimu analipwa kati ya 200,000 mpaka 300,000 kwa mwezi wakati wabunge wanapokea posho kwa siku
CHANZO:MTANDA BLOG
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment