-->

NDEGE YA ABIRIA YA ETHIOPIA YATEKWA NYARA NA MSAIDIZI WA RUBANI WA NDEGE HIYO

Juu na chini ni ndege ya shirika la ndege la Ethiopia Flight ET 702 ikiwa uwanja wa kimataifa wa Cointrin uliopo Geneva nchini Switzerland, abiria wakiongozwa na Polisi kuteremka baada ya kutekwa nyara na msaidizi wa rubani mapema leo na kubadilisha muelekea na kuipeleka Geneva, ndege hiyo ilikuwa ikielekea Rome, Italia, sasa hizi msaidizi huyo anashikiliwa na Polisi chini ya ulinzi mkali na bado hajatoa sababu za kuiteka ndege hiyo, abiria wote wakiwemo wafanyakazi wa ndege hiyo wapo salama. 
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment