Wayne
Rooney anatarajia kusaini mkataba mpya wa miaka mitano na nusu na klabu
yake ya sasa Manchester United wiki hii ambao utaongeza mshahara wake
hadi kufikia paundi 300,000 kwa wiki.Mshambuliaji
huyo England mwenye 28 anataka kuongeza mkataba ambao utamuweka Old
Trafford hadi June 2019, ambapo tayari makubaliano ya awali yamefikiwa
kati yake na klabu.
Rooney
alijiunga na United akitokea Everton mwezi August 2004 na mkataba wake
wa sasa unamuweka klabu hapo hadi 2015 na analipwa paundi 250,000 kwa
wiki.
0 comments :
Post a Comment