Mjumbe
wa Kamati Kuu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na
mjumbe mwenzake Edward Lowassa, wakati alipokuwa akiingia kwenye Ukumbi
wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo, Feb 15, 2014 kwa ajili ya
kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya CCM.
Wajumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Balozi Ali Mchumo (kushoto) Bernad Membe (kulia)
na Adam Malima, wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa kikao hicho.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao hicho.
0 comments :
Post a Comment