Meneja
wa Tawi la NMB Mkwawa,Sumka Mbuba pamoja na Afisa Mikopo Grace Ndosa
wakishusha vyakula vyenye thamani ya shilingi milioni tano kutoka kwenye
gari ili kukabidhi kwa waathilika wa upepo mkali ulioacha familia
nyingi bila makazi na chakula katika kata ya Izazi mkoani Iringa. Msaada
huo ulitolewa na Benki ya NMB.Maofisa
wa benki ya NMB tawi la Mkwawa wakikabidhi sehemu ya msaada wa vyakula
kwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Iringa vijijini, Stevene Mhapa (Pili
kushoto). Msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni tano ulitolewa na
benki ya NMB kwa waathirika wa upepo mkali ulioacha familia nyingi bila
makazi na chakula. Kutoka kulia ni Grace Ndosa, Sumka Mbuba, Sumka
Mbuba, Focus Lubende na Lucas Ndondole. Makabidhiano haya yamefanyika
kijiji cha Izazi.
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment