-->

MWANDISHI WA GAZETI LA TANZANIA DAIMA AUWONGOPEA UMMA KUHUSU MATOKEO YA UDIWANI

Gazeti la Tanzania daima la jana tarehe 10/02/2014 jumatatu toleo la 3355, 6SSN 0856 9762. Limetoa habari ya uongo juu ya matokeo ya uchaguzi.
Limeandika habari isiyoyakweli kuhusu uchaguzi wa madiwani ambao umefanyika hivi karibuni kwa kudai kwamba CHADEMA ilipata majimbo zaidi ya 8.
Ukweli ni kwamba CHADEMA ilipata majimbo matatu,NCCR moja,CUF haikupata kitu na CCM ilijizolea majimbo 23 
 
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment