SOURCE:DAILYMAIL
HUYU NDIYE MZEE WA MIKA SABINI AMBAYE BADO ANANYANYUA VYUMA VIZITO
Sam 'Sonny' ni mzee wa mika sabini(70) ambaye naishi huko Gorgia,amekuwa akifanya mazoezi ya kutunisha misuri na kendelea kunyanyua vyuma vizito.Sonny anaendelea kuwa Championi wa Gorgia iingawaje umri wake ni mkubwa sana.Sonny hana mpango wa kutundika daruga katika mchezo huo anao upenda


kwa mujibu wa Sonny umri sio kitu kichomfanya mtu kuwa mzee bali akili yako...kwake umri ni namba tu.
SOURCE:DAILYMAIL
SOURCE:DAILYMAIL
0 comments :
Post a Comment