Kiungo
wa zamani wa Arsenal na Real Madrid anayekipiga katika klabu ya
Lokomotiv Moscow Lassana Diarra amekanusha madai kwamba ni mfuasi wa
vita ya kidini nchini Syria.Wiki iliyopita iliripotiwa kwamba Diarra
(29) alijiunga na vita inayoendelea Syria baada ya kutolewa kwa video
inayomuonyesha mtu akiwa kajifunika uso huku akijitambulisha kwamba ni
Lassana Diarra.Hata hivyo kiungo huyu wa timu ya taifa ya Ufaransa ambae
aliwahi pia kuitumikia Portsmouth na Chelsea, ametoa
taarifa rasmi kupitia wakili wake na kusema hahusiki kabisa na hiyo
video.“Hajawahi kukanyaga nchini Syria, ni ujinga na yeye sio mfuasi wa
jihad, ni mwanasoka anayeichezea Lokomotiv Moscow,” amesema Mwanasheria
wake.
Home
/
HABARI ZA KIMATAIFA
/
LASSAN DIARA AKANUSHA KUHUSIKA KUJIUNGA NA JIHADI INAYOENDELA NCHINI SYRIA
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment