Matokeo
ya Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze yametangazwa Chama cha Mapinduzi
CCM kimepata jumla ya kura 20812,na Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA),kimepata idadi ya jumla kura 2828 na chama cha Wananchi CUF
kimepata kura 474.

CCM 20812 CDM 2638 CUF 473 AFP 78 NRA 59
Matokeo ya awali kwa baadhi ya vituo yanaonesha kuwa mgombea wa CCM Ridhiwani Kikwete ameshinda
Uchaguzi wa mdogo wa Jimbo la Chalinze umefanyika huku ukigubikwa na
kasoro kadhaa, ikiwa ni pamoja na watu wachache kujitokeza vituoni
kupiga kura, wapiga kura kulalamika ‘kupokwa’ vitambulisho vyao, vituo
kuwa majumbani kwa watu, huku pia kukiwa na hofu ya vurugu.
Kasoro hizo zilijidhihirisha jana wakati wapiga kura shughuli ya upigaji
kura ilipokuwa ikiendelea katika maeneo mbalimbali ya jimbo hilo ambapo
wananchi wa Chalinze walikuwa wakipiga kura mbunge wao, kuziba nafasi
iliyoachwa wazi na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Said Bwanamdogo
aliyefariki mapema mwaka huu.
SOURCE:MATUKIO NA VIJANA
0 comments :
Post a Comment