LEO MJINI DODOMA
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Askofu Mkuu Mstaafu, Dr. Donald Mtetemela
(kushoto) na Spika wa Bunge, Anne Makinda wakiteta Bungeni mjini Dodoma
Aprili 4, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba na Waziri wa Ujenzi, John Magufuli akiapa
Mabele ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu (kushoto),
Bungeni Mjini Dodoma Aprili 4, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wajumbe
wa Bunge Maalum la katiba, Waziri Mkuu, Msaafu, Edward Lowassa na
Joshua Nasari wakiteta, Bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2014. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu.
0 comments :
Post a Comment