Mgombea
Ubunge katika Jimbo la Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani,
Ramadhani Mgaya kupitia chama cha AFP amejeruhiwa kwa mapanga na watu
wasio julikana.
"Nimevamiwa na kujeruhiwa na mtu ambaye simfahamu ahsante uongozi wa chadema kwa kunisaidia,"alisema Mgaya.
Mgaya amesema ameumia mikononi wakati nikipangua nakujitetea mvamizi alikuwa na panga. Mbali na yeye pia amesema pia kiongozi wa Chadema, Mwita Waitara naealijeruhiwa kwakuwa alikuwa moja ya watu waliokuwa wakimsaidia.
Father Kidevu Blog
0 comments :
Post a Comment