-->

PEP GUARDIOLA ANAMALIZA KIPAJI CHA GOTZE

Pep Guardiola anamaliza kipaji cha Gotze
Wakala wa mchezaji kiungo wa Bayern Munich, Mario Gotze amelalamika mteja wake kutopewa nafasi ya kucheza na meneja
Pep Guardiola toka kocha huyo apewe nafasi ya kuinoa klabu hiyo.
Gotze miaka 23, aliyesajiliwa kwa kitita cha Pauni milioni 32, akitokea Borussia Dortmund mwaka 2013 lakini ameshindwa kucheza mfululizo msimu uliopita.
Na wakala wake Volker Struth, amesema Bayern inatakiwa impe ushirikiano mteja wake pamoja na meneja Pep Guardiola.
Gonga like na comment kwa habari hii ya kocha na mchezaji wake.Je! kocha Pep anamtendea haki mchezaji Gotze au ameshuka kiwango.?
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment