-->

VIJANA 30 WA CCM WAHAMIA CHADEMA,SABABU NI LOWASA

‪#‎HABARI‬ Vijana 30 wa vyuo vikuu ambao ni wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamerudisha kadi za CCM katika Tawi la chama cha (CHADEMA) Mwananyamala kwa madai kuwa hawakuridhishwa na mchakato wa kumpata mgombea wa urais wa CCM.
Vijana hao wa vyuo vikuu mbalimbali waliokuwa wakiimba wimbo wa tunaimani na Lowassa wamekabidhi kadi zao za CCM kwa Kaimu Mwenyekiti wa Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni ya Chadema, Bi. Esther Semaja na kukabidhiwa kadi za uanachama wa CHADEMA.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment