Utafiki unatumia takwimu umefanyika na kutoa ripoti kwamba Mario Balotelli ndio mchezaji ambae ana rekodi nzuri ya upigaji penati zaidi ya wachezaji wengi nyota kwenye soka.
Uchunguzi huo umehusisha idadi ya penati walizopiga na kutafuta asilimia ya penati walizopata kati ya walizopiga. Balotelli alipata nafasi ya kupiga penato 30 na kupata penati 28, hivyo basi amekua mpigaji penati bora kwa asilimi 93.
Hii hapa ni list kamili.
1)Mario Balotelli (Liverpool) – 93%. 28 from 30
2)Zlatan Ibrahimovic (PSG) – 87%. 54 from 62
3)Arturo Vidal (Juventus) – 87%. 27 from 31
4)Giuseppe Rossi (Fiorentina) – 87%. 34 from 39
5)Cristiano Ronaldo (Manchester United) – 87%. 78 from 90
6)Roberto Soldado (Tottenham) – 87%. 26 from 30
7)Frank Lampard (Manchester City) – 83%. 64 from 77
8)Steven Gerrard (Liverpool) – 82%. 49 from 60
9)Oscar Cardozo (Trabzonspor) – 82%. 41 from 50
10)Francesco Totti (Roma) – 81%. 78 from 96
0 comments :
Post a Comment