-->

WAKAZI WA ARUSHA ARUMERU WAANZISHA TABIA YA KUTANDIKA WATU BAKORA


Wakazi wa Arumeru mkoani Arusha wamejipitishia sheria ambayo tayari imeanza kutumika ya kuwatandika viboko 70 hadi 120 wasichana wanaovaa nusu uchi na wavulana wanaovaa mlegezo, kuvuta bangi, wizi, matusi na ulevi nyakati za kazi.
Je, unawaunga mkono katika hilo na sheria hii ianze Tanzania nzima au unawapinga?
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment