Wakati zoezi la uandikishaji linaanza rasmi hapa jijini Dar Es Salaam ni
muhimu Watanzania wote waendelee kujiandikisha ili waweze kupiga kura
na kuchagua viongozi wanaowataka kwani hiyo ni namna pekee
itakayowezesha kujenga maisha na taifa tunalolitaka. Watu wakiwa hawana
uwezo wa kufanya maamuzi katika sanduku la kura taifa lao haliwezi
kuendelea kamwe.
Wakati zoezi la uandikishaji linaanza rasmi hapa jijini Dar Es Salaam ni muhimu Watanzania wote waendelee kujiandikisha...
Posted by Edward Ngoyai Lowassa on Tuesday, July 21, 2015
0 comments :
Post a Comment