-->

MANCHESTER UNITED WAIDHALILISHA BARCELONA WAICHAPA BAO 3 KWA 1

Barcelona's Luis Suárez hits the post with a free-kick during the International Champions Cup 2015 match against Manchester United.
Luuis Suarez akipiga free kick ambayo iligonga mwamba
Katika mechi za maandalizi ya misimu mipya ya ligi katika ligi tofauti duiani,kumeanzishwa kombe la Internationa Cup nchini marekani ambalo Manchester united ndio bingwa mtetezi wa kombe hilo.Usiku wa jana majira ya saa tano vigogo wawili wa mataifa mbali mbali mbali Barcelona wa Hispania na Manchester united wa Uingereza walikutana ,Mchezo huo ulikuwa mkali sana na uliojaa shamra shamra.Manchester united waliichapa Barcelona bao 3-1 sawa na goli ambazo Manchester united ilichapwa kwenye fainali ya kombe UEFA miaka michache iliyopita.
Magoli ya Manchester united yaliwekwa kambani na Wayne Rooney 8 katika dakika ya 65 ,Jess Lingard katika dakika ya na Adnan Januzaj katika dakika ya 90.
Nalo goli lakufutia machozi la Barcelona liliwekwa kambani na Rafinha katika 90.
Hali ya mchezo kwa ujumla ilikuwa hivi
Statistical postmortem
Here’s a look at the final stats.
Man Utd Barca
3 Goals 1
10 Attempts 18
6 On target 6
3 Offsides 2
3 Corners 7
26 Fouls 8
2 Cards 0
39 Possession 61
MAGOLI YOTE HAYA HAPA
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment