-->

QUEENS ZANZIBAR YAFUNGWA BAO 10 CECAFA



#Michezo:Z'bar Queens yapigwa 10 Secafa
Timu ya wanawake ya Z'bar inayoshiriki katika mashindano ya secafa huko Uganda imeanza vibaya mashindano ya mchezo huo baada ya kufungwa kumi kwa moja jioni hii na Burundi.
CHANZO:MAZRUI
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment