Habari hii ilionekana SWAHILI TIMES NA ZOTE KALI
BREAKING NEWS
✍Khabar iliyoenea ktk mitandao mbali mbali ya mawasiliano juu ya kuchinjwa mfanyakazi mwanamke na bos wake Oman ni
*Khabar ya UZUSHI NA UONGO NA KULITIA TAIFA LA OMAN DOSARI NA FITNA*.
✍. Khabar hio haina ukweli wowote Bali picha ukiiyona tu hapo alipo sio hospital za Oman.
kisha tuliomba namba ya watu wake wa karibu au watwambie wapi kalazwa huyo mgonjwa ili tukamuone.
wameshindwa kutuma hio namba na jina LA hospital.
✍Watu hawa sio mara kwanza wala mara ya pili kutuma hayo ya UZUSHI na UONGO Bali mara nyingi Sanaa kisha mwisho wakawa hawana uthibitisho au dalilli yoyote Ile.
ila nia zao zimejulikana kuwa CHUKI NA FITNA NA KULETA MVUTANO BAINA YA TANZANIA NA OMAN
✍Allah Ahifadhi Oman na watu wake na nchi zote za kiislam na FITNA na CHUKI
Amin
by :-Humoud Alrwaahiy
mbali na taarifa hiyo iliyotolewa na Humoud pia BUSTANI YA HABARI ilifuatilia chanzo cha picha hiyo na kubaini binti huyo anaeenezwa kwenye mitandao ya kijamii ni Muethiopia ambaye alituhumiwa kumuua mtoto wa bosi wake kisha yeye mwenyewe kujaribu kujiua kwa kujichinja shingoni na kisu.
vyanzo habari hizo ni
SATENAW
THIS TIME

0 comments :
Post a Comment