NAMNA YA KUSET CONFIGURATION KATIKA ANDROID ILI KUPATA INTERNET ACCESS
Tunaanza kama ifuatavyo:
Bonyeza >>>> Menukisha “Settings”
Bonyeza tena “More”
Kisha “Mobile Networks”
kisha “Access Point Names”
Chagua mtandao unaotaka kufanya setting kwa simu za Dual sim e.g. Vodacom.Tigo,Zantel, Airtel au Halotel
Kisha bonyeza ; New APN
Kumbuka : save setting zako kisha zima na kuwasha simu yako
mpaka hapo simu yako iko tayari kwa matumizi ya internet
ANDROID VODACOM
Name: Airtel APN: Internet IP-ADDRESSS: 10.10.09.30
Port:8080
Port:8080
TIGO
Name:
Tigo
APN: tigoweb
ZANTEL
Name: Zantel
APN: znet
HALOTEL
Name : Halotel
APN : b internet
HALOTEL
Name : Halotel
APN : b internet
source:MWARUBUSOPE
0 comments :
Post a Comment