-->

KUKOSEKANA KWA UMAKINI KWA MUAMUZI KWA SABABISHA SIMBA KUKOSA USHINDI DHIDI YA WATANI WAO YANGA

Simba sports club imetoka sare na Yanga baada ya Yanga kutangulia kwa goli la dakika ya 26 lililowekwa wavuni na mchezaji wa zamani wa Amisi Tambwe.Kabla ya kufunga bao hilo Tambwe aliunawa mpira huo kwa mkono kama inavyoonekana katika picha hapo chini

Kutokana na refa kutoona tukio hilo hivyo alikubali kuwa goli lililofungwa na Amisi Tambwe kuwa ni goli halali.
Mbali na goli hilo refa huyo pia alikataa goli la Simba lililowekwa wavuni na Ibrahim Ajibu kwa kilichodaiwa kuwa ni offside,ingawaje ukitizama uhalisi mpira huo haukuwa offside.
Tizama ushahidi wa picha hapo chini

Hata hivyo Simba walisawazisha bao hilo katika dakika ya 87 kwa kona iliyoingia yenyewe baada ya kupigwa kwa umaridadi wa haki ya juu na mchezaji machachari wa Simba Shiza Kichuya.

Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment