Jengo hili lipo Tapei huko Taiwan nchini China.Jengo hili linafahamika kama AGORA TOWER ni maalumu kwa ajili ya bustani mbali mbali kama mboga mboga,na mimea ambayo ni dawa pamoja na mimea mingine.Pia ni sehemu ambayo kivutio cha watalii na huwa kama sehemu ya mataembezi kwa wenye pesa.
Jengo hilo lina muundo unaoshangaza watu likiwa kama mikono iliyokunjana,lilibuniwa na Vicent Callebaut likiwa na square meter 42,355.katika kila apartment ya jengo hilo kutakuwa na mimea ilipandwa itakayokuwa inazalisha hewa safi na mazingira mazuri kwa mtu kupumzika
Muonekano wa ndani wa AGORA TOWER ikiwa na uoto katika kuta zake

0 comments :
Post a Comment