Hii ni video ya mkutano wa hadhara wa ACT WAZALENDO uliofanyika mkoani Mwanza ambako maelfu ya watu walijitokeza kwenye mkutano.
Zitto Kabwe ametupia mtandaoni video hiyo hivi karibuni baada ya kuenea kwa picha za namna CHADEMA walivyojaza watu wengi kwenye mkutani wao Mwanza
0 comments :
Post a Comment