Mwanasheria wa Kenya Felix Kiprono ambaye alitamba kwenye healine nyingi duniani baada ya kutangaz kwamba yuko tayari kumuoa Mali Obma kwa kutoa ng'ombe 50,kondoo 70 na mbuzi 30 kama mahali amefanya maamuzi ya kubadili dini n kuwa muislam.
Taarifa zilizopatina ni kwamba kijana huyo aitwae Felix Kiprono alibadili dini toka mwaka 2012 na kufanya siri pasina kutangaza,alijiunga na elimu ya dini kutoka hapo kwa muda wa miaka mitatu na hatimae baada ya miezi michache hivi karibuni atahitimu mafunzo hayo ya Tawhiid(elimu kuhusu kumpwkwesha Alla).
“I converted to Islam in 2012 at Jamia Mosque after my female friend introduced me to the religion. I have been a Muslim since then,” he told Citizen Digital.
Alipohojiwa na Citizen Digital alikiri kubadili dini tangu mwaka 2012 baada ya kueleweshwa Uislam na rafiki yake wa kike
“My Islamic name is Adnan and it is included among my four names in the conversion certificate that I acquired from religious leaders,” he said.
pia Kiprono aliongeza kuwa jina lake jipya la kiislam ni Adnan ambalo ni jina lenye asili ya kabil l Qureish(kabila la mtume Muhammad s.a.w)
“I have been fasting all through since it is a requirement of my religion, and I have never absconded. I have also been studying the Quran for a better part of my life as a Muslim,” he said.
Alipoulizwa kuhusu kufunga alisema yeye amefunga mwezi wote huu kwa kuwa ni swala la lazima kwa kila muislam pia kwa sas najifunza kusom Qur'an
0 comments :
Post a Comment