Moja ya nchi za kibepari barani ulaya ifahamikayo kama Hispain au Hispania kwa kiswahili imeruhusu ndoa za umri wamiaka kati ya 14-16,jambo ambalo limewashangaza wamagharibi wengi barani ulaya.
Hoja hiyo ya kuruhusu mabinti wa miaka 14-16 kuolewa ilipitishwa bungeni na kisha kupelekwa kwenye seneti.
Kwa mujibu wa ruhusa hiyo,Muoaji anatakiwa apate ruhusa kutoka kwa jaji ndio aweze kumuoa binti wa miaka 14-16.
Nae profesa Javier Fajardo wa chuo kikuu cha Navarra amesema ndoa ya umri kati ya miaka 14-16 si kitu kigeni barani ulaya kwani hata zamani ndoa hizo zilikuwepo na ziliruhusiwa pale mtu anapokuwa na uwezo wa kupata watoto
Akaendelea kwa kusema leo mtu mwenye miaka 14 anaonekana ni mtoto wakati zamni alikuwa tayari ni kiongozi wa familia,akiwajibika na kufanya kazi.
0 comments :
Post a Comment