Jehova Wanyonyi ambaye amekuwa akijiita na Mungu na baadhi ya watu kumuamini ya kwamba yeye ni Mungu amepotea ghafla hali iliyopelekea wafuasai wake kuingiwa na wasiwasi.Taarifa ambazo zimesamba kwenye mitandao ya kijamii ni kwamba Mungu huyo amefariki huku wengine wakisema kwamba yupo hospitalini akitibiwa....
Mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kuhusu Mungu huyo ya kwamba yupo wapi
wanawake ambao wanaitwa roho katika ngome ya Jehova Wanyonyi
mmoja ya wake za Mungu huyo Wanyonyi
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
0 comments :
Post a Comment