-->

UKWELI KUHUSU TAARIFA ZILIZOENEZWA KWAMBA KUNA MALAIKA KAANGUKA NCHINI UINGERZA

Kuna malaika ameanguka nchini Uingerza hizo ndio Taarifa ambazo zimenukuliwa kwenye blogs za kitanzania na baadhi ya blogs za nchi mbali mbali,Ukweli ni kwamba hakuna malaika aliyeanguka nchini Uingereza na taarifa hizo hazina ukweli wowote.
Ukweli kuhusu habari hii ni kwamba Wasanii wa ubunifu wa vitu kwa kutumia viungo vya wafu(cadavers) pamoja na body fat za binaadamu.Wamefanikiwa kutengeneza kile kinachoonekana kama malaika ambae ameanguka kutokea minguni.Kitu hicho ambacho kimepewa muonekano wa kike na kupewa mbawa za kurukia kimeshangaza wengi hasa pale kwa mara ya kwanza ilipofunguliwa kwa watu na kuweza kukiona hicho kilichotengenezwa na wasani hao Sun Yuan na Peng YuLife-like: The 'Angel' installation by Sun Yuan and Peng Yu has shocked art lovers in Beijing with its realismThought provoking: Yuan and Yu use their art to challenge perceptions about death and the human conditionMwaka 2007 Sun Yuan na Peng Yu walibuni kitu ambacho walikipa jina la OLD PERSONS HOME ambako walitengeneza mfano wa watu ambao walikuwa viongozi wa zamani na kuwavisha mavazi yanayobeba asili ya mataifa mbali mbaliWheely important: The men depicted in the 'Old Persons Home' installation looked like famous world leadersOn the move: Models in the installation were placed in electric wheelchairs in an animated display of art
Kazi zao zote zimeshawahi kuonyeshwa katika jengo la maonyesho la London maarufu kama Saatch
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment