Kijana kutoka kijiji kimoja mkoani Hebei Kaskazini mwa China ambaye ameunda ndege yake.
Xie Baogang mwenye umri wa miaka 31 alijifunza mwenyewe mwaka 2015 jinsi ya kutengeneza ndege hii yenye kasi ya kimomita 200 kwa saa na inaweza kwenda umbali wa kilomita 400.
SOURCE:SCOOPNEST

0 comments :
Post a Comment