Kikosi cha Yanga ambacho kimeondoka jana alfajiri kipo mjini Antalya nchini Uturuki ambako wameweka kambi kujiandaa na mechi yao dhidi ya Mo Bejaia ya Algeria.
Beki mpya wa Yanga, Hassan Kessy amekuwa kivutio mitandaoni kutokana na picha zake mbalimbali akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kwenda Antalya nchini Uturuki.
Pamoja na kusafiri Takribani masaa tisa kikosi cha Yanga kilifikia mazoezini ingawa yalikuwa ni mazoezi mepesi
0 comments :
Post a Comment