-->

HIZI NDIO FAIDA ZA MAJI YA NAZI USIZOZIFAHAMU

Maji ya nazi husaidia kusafisha kibofu
Manji ya nazi husaidia kuongeza kinga mwilini
Maji ya nazi husaidia kupambana na maradhi ya kuambukiza kama vile gonorrhea
Maji ya nazi husaidia kuifanya ngozi kutokakamaa
Maji ya nazi husaidia sana kwa wenye matatizo U.T.I
Pia husaidi sana kwa watoto wenye homa za manjano
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment