-->

HAYA NDIO MAJUMBA YANAYOELEA KWENYE MAJI,NA SABABU ZA KUELEA KWAKE



Karibu mtu wa nguvu ambaye unavutiwa na pichaz za mijengo mikali kabisa… unajua ni kitu kinachovutia pia wakati mwingine kuona watu wakiwa na mijengo yao ambayo iko tofauti kabisa na aina ya nyumba tulizozoea, pata picha inavyokuwa noma ikitokea ishu kama mafuriko alafu hapohapo unaambiwa kuna watu wamejenga juu ya maji na wanaishi kwa amani kabisa !!


Usishtuke kuona inaelea mtu wangu, huu ndio muundo ambao wataalam wanasema kama unataka nyumba yako iwe inaelea itabidi ijengwe hivyo… chini yake kunakuwa na kitu kama boya lililojaa hewa, ndio kinachofanya na nyumba ielee juujuu.

Nimezipata picha nyingi kabisa mtu wangu, unaambiwa kwa Marekani kwenye Miji kama ya Seattle na Portland hii ni kawaida kabisa kukutana nayo…. cheki watu na maisha yao mengine kabisa na nyumba zao juu ya maji bila hofu !!








Huu ndio muonekano wa ndani ya moja ya nyumba ambazo zinaelea, ni kuzuri kabisa yani !


Unayashangaa ya nyumba kuelea? hapa ni mtaa mzima uko juujuu !!









Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment