-->

JE UNAPENDA KUCHEKI MAGARI?TIZAMA SHOW YA MAGARI HAPA

http://darkroom.baltimoresun.com/wp-content/uploads/2013/09/REU-AUTOSHOW-FRANKFURT-20-760x521.jpg 
Je unafikiri magari ya bongo yana akili?? Tanzania motor show ni kipindi kitakacho kufahamisha wewe mtanzania unaejua na usie jua vitu kuhusu magari na sifa zake mbalimbali na uwezo wake katika barabara zetu. Lakini sio hicho tuu utaweza kumuona staa umpendae akiwa ana piga round kwenye gari flani amazing sanaa na kuona uwezo wake ukoje katika masuala ya uskani. Ni bonge la show flan amazing
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment