-->

LIVERPOOL WAENDELEA KUWASHA MOTO MECHI ZA PRE SEASON,WASHINDA BAO 7 KWA 0

Matokeo | Liverpool 7 - 0 Felda United
Mchezaji wa Liverpool ,Danny Ings amefunga magoli matatu katika siku yake ya kuzaliwa (hat-trick)na kuisaidia timu yake kupata ushindi wa magoli 7 - 0 dhidid ya Felda United, katika dimba la Bukit Jalil Stadium.
Mchezaji huyo wa zamani wa Burnley,hadi sasa amefunga magoli manne katika michezo miwili.
Magoli mengine ya Liverpool yamefungwa na Lazar Markovic,
Pedro Chirivella, Sheyi Ojo pamoja na Joao Carlos Teixeira.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment