Wayne Rooney akubali kucheza kati
Mchezaji wa United, kapteni Wayne Rooney amepokea taarifa ya kocha wake Louis Gaal ya kucheza nafasi ya namba tisa kwa mikono miwili.
Rooney ambaye msimu uliopita aliifungia United magoli 12, amesema anataka kucheza nafasi ya mshambuliaji ambapo anadhani anaweza kufunga magoli mengi.
Msimu wa 2009-10 na 2011-12, Rooney alifunga magoli 34 kwenye mashindano yote akicheza nafasi ya mshambuliaji wa kati
kocha wa Man United, Louis van Gaal amesema anatarajia kumtumia Rooney kama mshambuliaji wa kati msimu ujao.

0 comments :
Post a Comment