-->

JE TAREHE 27 MWEZI WA SABA 2015 NDIO TAREHE RASMI YA LOWASA KUJIUNGA ACT WAZALENDO??

Hilo ndio swali ambalo wadau wengi wa siasa kwenye mitaandao ya kijamii wamekuwa wakijiuliza hasa baaada ya mwanasiasa mkongwe ambaye kiongozi wa CT WAZALENDO Zitto Zuber Kabwe kuandika kwenye ukurasa wake wa facebook  maandishi ambayo yapo hapa chini
Je ni tukio gani hilo kubwa litakaloimarisha siasa za upinzani???
Ni Lowasa kujiunga ACT WAZALENDO au ndio tarehe ya kuanza kupokea wabunge wote wakigoma kujiunga ACT WAZALENDO ??maana Zitto alishasema hakuna atakae pata ubunge kigoma pasina kujiunga na ACT WAZALENDO
WEWE UNAHISI NI TUKIO GANI HILO KUBWA???
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment